VIDEO: Mboto amchambua Bernard Morrison ''chenga zake zinatibu magonjwa yote''
byMuungwana Blog 2-
0
Mchekeshaji na mshabiki wa timu ya Yanga SC Haji Salum maarufu Mboto amemchambua Bernard Morrison na kusema kuwa uwezo wake sio wa kawaida kwani anapiga chenga ambazo zinatibu magonjwa yote.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE