VIDEO: Bakwata wakasilishwa vikali na tangazo linaloidhalilisha Qur an tukufu na uislam


Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesikitishwa na kusambaa kwa video (video clip) yenye maudhui ya kutangaza tiba huku ikiidhalilisha Qur an tukufu na Uislamu ambapo imekuwa ikisambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya jamii.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBACRIBE