Jeshi la polisi mkoa wa Njombe linamshikilia mwanamke Apronia Mwinuka (35) mkazi wa Kikula kata ya Makambako kwa tuhuma za kutoa adhabu kwa shangazi yake Elina Mwinuka (18) na kumsababishia kifo kwa madai binti huyo alipitia kwa mpenzi wake na kuchelewa kurudi nyumbani.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema binti huyo alipigwa na shangazi yake bila ya tahadhari.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
