Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametolea ufafanuzi kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa kirusi cha Corona ambao umeikumba nchi ya china, na kubainisha kuwa kwa hapa nchini hakuna mtu aliyekumbwa na ugonjwa huo wala mwenye dalili.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBCRIBE
