Madiwani wa halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe wanaotokana na chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wamesababisha kikao cha baraza la madiwani,kutulia kwa muda kutokana na kuomba taarifa wakilalamika kwa madai kuwa mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amevunja kanuni za kikao baada ya kukaribishwa na kutoa salamu za serikali kwa zaidi ya dakika 10.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
