VIDEO: Alichozungumza wakili wa Kabendera baada ya kuachiwa huru


Leo Februari 24 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam imemuhukumu Mwandishi wa Habari za uchunguzi Erick Kabendera kulipa faini na fidia ya jumla ya Tsh. Milioni 273 baada ya kukiri makosa yaliyokuwa yakimkabili ya utakatishaji fedha na ukwepaji kodi huku akiondolewa shitaka la kuongoza genge la uhalifu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items