"Hakuna cha lockdown wala baba yake lockdown"- Rais Magufuli



“Tanzania hakuna cha lockdown, wala Baba yake lockdown, wala Ndugu yake lockdown, tunaendelea kuchapa kazi wakimaliza kujilock huko watakuja tutawasaidia chakula, na tusiwabague, ndani ya Afrika Mashariki na SADC tuko pamoja lakini kila Mtu ana njia zake za kutatua tatizo” -JPM
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items