VIDEO: Mkulima aishi juu ya mti kulinda mazao baada ya tembo kuharibu ekari 700


Ekari zaidi ya 700 za mashamba ya mazao ya kilimo yakiwemo mahindi, nyanya, maharage pamoja na mtama katika kijiji cha msongozi wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, yemaharibiwa vibaya na wanyama tembo baada ya makundi ya wanyama hao kuvamia na kuharibu mazao ya wakulima kwenye mashamba yao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 
Mpya zaidi Nzee zaidi