Uturuki na Algeria zimesaini makubaliano katika sekta ya kilimo hapo awaili na sasa imefahamishwa kuwa makubaliano hayo yameenza kuheshimishwa.
Algeria imefahamisha kuanza kuheshimishwa kwa makubaliano katika sekta ya kilimo yaliosainiwa na Uturuki.
Makubaliano hayo yalisainiwa mwaka 2018.
Jarida la taifa la Algeria, Ijumaa lilichapisha haabari ambayo iliamnukuu rais wa taifa hilo Abdelmajid Teboune ambae alifahamisha kuanza kuheshimishwa kwa makubaliano hayo.
Rais wa Algeria amesema kuwa makubaliano hayo ni kwa ajili ya manufaa ya mataifa hayo mawili ikiwa ni Uturuki na Algeria.
Makubaliano hayo yalisainiwa kati ya waziri wa kilimo wa Algeria na waziri wa kilimo wa Uturuki.
JarÅŸda hilo limesema kuwa makubaliabo hayo yatakuwa ya kudumu na hukuna yeyote anataraji kusitishwa kwake.
Muda wa makubaliano hayo ya ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili katika sekta ya kilimo ni wa miaka mitano.