Vilabu vya Ligi Kuu ya England kuanza mazoezi Mei 19, 2020
byMuungwana Blog 5-
0
Vilabu vya Ligi Kuu ya England vimekubaliana kuanza mazoezi kwa vikundi vidogovidogo bila kugusana kuanzia kesho Mei 19, 2020 kuelekea kurejea kwa ligi hiyo ambayo imesimama kwa zaidi ya miezi miwili sasa kutokana na janga la corona.