Watu wako wa karibu wanasubiria kuku outshine pale unashine- Wema Sepetu

"Kuna wakati Mtu unaweza kujiuliza wapi unakosea na ukajilaumu sana kwa makosa ambayo hata wewe mwenyewe huwezi kuelewa, nimekuwa nikipitia sana hali hii, na nimekuja kugundua kwamba kumbe kuna Watu ambao sometimes wanaweza kuwa ni Watu wako wa karibu sana wapo tu wanasubiria kuku outshine pale wanapoona unashine"- Msanii Wema Sepetu.

"Unachopaswa kufanya ni kusonga mbele na kutoangalia nyuma, huwa inakua ngumu sana at times maana design wanakurudisha nyuma kimtindo but dont lose hope, keep going kwa maana naamini kama Mungu kakuandikia ipo basi ipo tu, inanihusu pia sana hii... (Sadly😔), ama keep that smile up there, msione mmeniweza"- WEMA
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items