Ticker

6/recent/ticker-posts

Kila Mtanzania ni first class siku hizi- Rais Magufuli“Kila Mtanzania ni first class siku hizi, Nchi hii ni tajiri kilichokuwa kinatusumbua ni ufisadi na wizi, kikipatikana kitu hakiendi kwa Watu walengwa, kwani mimi ni Malaika!?, mbona Ndege tumenunua zaidi ya 10 kwanini hawakununua zamani”-JPM

“Kwenye corona tumeweza, hapa tumekutana hatujavaa chochote, unaambiwa usimsogelee Mtu hadi Mita moja, Mkeo au Mumeo utaacha kumsogelea?, mtapataje Mtoto bila kusogeleana, ni mambo ya ajabu,ndio maana tukasema sisi tutaendelea kusogeleana, Mungu anatulinda”-JPM