Ticker

6/recent/ticker-posts

 


Mtapataje Mtoto bila kusogeleana- JPM


“Kwenye corona tumeweza, hapa tumekutana hatujavaa chochote, unaambiwa usimsogelee Mtu hadi Mita moja, Mkeo au Mumeo utaacha kumsogelea?, mtapataje Mtoto bila kusogeleana, ni mambo ya ajabu,ndio maana tukasema sisi tutaendelea kusogeleana, Mungu anatulinda”-JPM baada ya kurudisha fomu ya kugombea Urais leo Dodoma