Bilal EkÅŸi, Meneja Mkuu wa Turkish Airlines ametangaza kuwa ndege zitaanza safari kuanzia 4 Juni.
Bwana EkÅŸi ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa,
"Kuanzia Juni 4, safariza ndani zitaanza katika miji 34 nchini.Safari 15 kutoka Ankara, na 14 kutoka Sabiha Gökçen (huko Istanbul)."
Taarifa hiyo vilevile imesema kuwa safari za moja kwa moja kutokea miji 16 barani Ulaya kuelekea katika miji 14 ya Uturuki zitaanza rasmi 18 Juni.
