Bernard Morrison ni miongoni mwa wachezaji waliokuwepo kwenye mazoezi ya kikosi cha Yanga jioni ya leo

Kiungo Bernard Morrison ni miongoni mwa wachezaji waliokuwepo kwenye mazoezi ya kikosi cha Yanga jioni ya leo. Yanga inajiandaa na mchezo wa VPL dhidi ya Biashara United utakaopigwa Jumapili, Julai 5, 2020.





Mpya zaidi Nzee zaidi