Loading...

7/27/2020

Breaking News: Tundu Lissu atua Dar, Mamia wampokea

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA, Tundu Lissu amewasili nchini leo akitokea nchini Ubelgiji alikokwenda kwa ajili ya kupatiwa matibabu.


Wanachama wa CHADEMA wamejitokeza kwa wingi kumpokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger