https://monetag.com/?ref_id=TTIb Cecil Mwambe achukua fomu ya ubunge jimbo la Ndanda | Muungwana BLOG

Cecil Mwambe achukua fomu ya ubunge jimbo la Ndanda

CECIL Mwambe(kushoto) achukua fomu ya ubunge jimbo la Ndanda kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) leo Julai 15,  2020 kulia ni katibu wa CCM wilaya ya Masasi, Shaibu Mtawa akimkabidhi fomu hiyo hii leo.