KIWANJA KINAUZWA KIPO KEREGE MAPIGA, DAR

KIWANJA kinauzwa kipo Kerege Mapinga, kiwanja ni kizuri sana kipo kona kinaukubwa wa 30 kwa 20 barabara zake ni kubwa, pia zoezi la upimaji Ardhi linaendelea.. Bei Million 5

Kiwanja hakina mgogoro wowote, kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0714 604 974
Mpya zaidi Nzee zaidi