Video: Tazama Mgombea jimbo la Kawe akiomba kura kwa lugha ya kichina


Uchaguzi wa kura za maoni kwenye Jimbo la Kawe Dar es salaam uko hewani sasa hivi na ni muda wa Watia nia kujinadi ambapo Mtia Nia namba 75 ni miongoni mwao ambapo aliamua kutumia lugha ya kichina kufikisha ujumbe wake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KU SUBSCRIBE



Mpya zaidi Nzee zaidi