“Nafsi yangu kama zilivyo nafsi zenu imegubikwa na huzuni kwa kuondokewa na Ndugu yetu, Kaka yetu, Mwenzetu Mkapa, katika hali kama hii muhimu ni kumuombea Mwenzetu kama ana makosa Mungu amuwie radhi, Mkapa alikuwa Mtu mwema sana na mfanyakazi kwelikweli” -MSTAAFU MWINYI