“Nilipokuwa Rais Mzee Mkapa amenisaidia sana, kuna wakati nikiwa Rais nilipitia changamoto kadhaa, muda mwingine mambo yalikuwa magumu kweli lakini Mzee Mkapa alisimama na mimi “ -MSTAAFU KIKWETE
“Mzee Mwinyi amepokea Tanzania uchumi wa Nchi ukiwa katika mazingira magumu amefanya jitihada kuuinua, Mzee Mkapa akaipokea Nchi uchumi ukiwa bado, akapigana sana na kipindi chake cha miaka 5 ya mwisho uchumi wa Tanzania ukawa unakuwa kwa 7% “ - MSTAAFU KIKWETE