Breaking: NEC yatangaza ratiba ya uchaguzi Mkuu Oktoba 2020
byMuungwana Blog 3-
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya uchaguzi wa Rais wa JMT, pia Wabunge na Madiwani wa Tanzania Bara ambapo uteuzi wa kiti Cha Rais,Ubunge na Udiwani ni Aug 25, Kampeni zitaanza Aug 26 hadi Oct 27, 2020 na Uchaguzi Mkuu utafanyika Jumatano October 28, 2020.