Leo Julai 12 2020 katika hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Rais Dk. John Magufuli Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma imewakutanisha mahasimu watatu wa tasnia ya burudani ambao wanajulikana kuwa hawana mawasiliano mazuri.
Wasanii hao ni Alikiba, Daimond pamoja na Harmonize wamejikuta wakiwa kwenye meza meja tukio ambalo limeleta gumzo mitandaoni kutokana na watu hawa kuonekana kila mtu kuwa bize na mambo yake