Picha: Mwilii wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa wawasili katika uwanja wa ndege wa Masasi‬


Helikopta ya Jeshi (Tanzania Air Force) iliyobeba mwili wa Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa ikitua katika uwanja wa ndege wa Masasi‬


Wanajeshi wa JWTZ wakijianda kuushusha mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu katika uwanja wa ndege wa Masasi kwa ajili ya kuanza safari kuelekea Lupaso.
Mpya zaidi Nzee zaidi