Wahamiaji 50 waliofurushwa Ugiriki wapokelewa Uturuki


Wahamiaji haramu  50 waliokuwa wakijielekeza nchini Ugiriki wamefurushwa na kupokewa  Uturuki.

Wahamaiji haramu  50 waliokuwa katika boti wakielekea nchini Ugiriki wamefurushwa na kikosi cha wanamaji cha Ugiriki .

Baada ya kufukuzwa wahamiaji hao  wameokolewa na kikosi cha wanamaji cha Uturuki mkoani Izmir katika kitongoji cha Dikili.

Kikosi hicho cha uokozi cha Uturuki  kilijielekeza katika eneo ambalo mashua hiyo ilikuwa ikifeli baada ya kupatiwa taarifa na kuwaokoa wahamiaji hao.

Wahamiai  haramu 21 wameokolewa  wakiwa katika  boti lao la plastiki wakiwa katika safari kuelekea nchini Ugiriki.

Mpya zaidi Nzee zaidi