Aug 2, 2020

Shilole ampa makavu live Snura Mushi mbele ya umati

"Kuna Wanawake tunapendana na kuna Wanawake wengine hatupendani, Dada yangu Snura Mushi aliposikia nimepigwa eti akasema apigwe tu, makavu live mimi sina siri, Mwanamke lazima umuonee huruma Mwanamke mwenzio, nakupenda Snura ndio maana nakuambia ukweli”-SHILOLE
KWA HABARI ZAIDI <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger