Tanzia: Nyota wa filamu ya 'Black Panther' Chadwick afariki dunia

 


Mwigizaji nyota wa filamu ya 'Black Panther' Chadwick Boseman (43) amefariki dunia baada ya kupambana na ugonjwa wa saratani ya utumbo mpana kwa miaka 4.

Boseman ambaye alicheza kama T'Challa kwenye filamu hiyo ya Black Panther, amefariki akiwa nyumbani kwake mjini Los Angeles huku akiwa amezungukwa na mkewe pamoja na familia yake.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi