Zawadi Mauya asaini mkataba wa miaka miwili Yanga


Kiungo Zawadi Peter Mauya (katikati) akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Peter Simon (kulia) na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo, Mhandisi Hersi Said (kushoto) baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Wana Jangwani hao akitokea Kagera Sugar ya Bukoba
Mpya zaidi Nzee zaidi