Mtoto wa kiume wa nguli wa muziki nchini Marekani, Bobby Brown aitwae Bobby Brown jr (28) amefariki dunia.
Kwa mujibu wa TMZ, Bobby Brown Jr, alifikwa na umauti siku ya Jumatano akiwa nyumba kwake Los Angeles. Hata hivyo upelelezi unafanyika ili kujulikana chanzo cha kifo cha kijana huyo.