Staa wa Muziki wa BongoFleva Marioo ambae kwasasa yupo Nchini South Africa kwa Shughuli zake za kimuziki, ameshare Video ikimuonesha akiweka Meno ya dhahabu maarufu kama Grillz .
Mastaa wengi wakubwa duniani hupenda kuweka Grillz za Madini aina tofauti, ikiwa ni njia ya kuongeza Utanashati na kutengeneza Muonekano wa Kistaa .
Kupitia Website ya Sehemu Staa huyo alipweka Grillz zake za Dhahabu iitwayo Fusigrillzlab.com unaeleza kuwa Gharama ya Meno hayo ni Rand 5000 sawa na Tsh. 749, 204 /=