Nyumbani Breaking News: Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza katika sokola Kariakoo, aagiza uongozi wa soko usimamishwe byMuungwana Blog 3 -6/01/2021 10:49:00 AM 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kushtukiza katika soko la Kariakoo. Mhe. Rais Samia alipotembelea soko la Kariakoo ajionea hali halisi na kupokea kero.na kuagiza uongozi wa soko usimamishwe. Facebook Twitter