Twaha kiduku amtwanga Dulla Mbabe, ajinyakulia gari


Bondia Twaha Lubaha maarufu Twaha Kiduku amejinyakulia gari baada ya kumtwanga Abdallah Pazi maarufu Dullah Mbabe. Lilikuwa pambano la round 10 na Twaha ameshinda kwa pointi


Pambano ni la marudio baada ya Dullah kuona alipigwa kwa bahati mbaya pambano lililopita

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi