Waziri Mkuu, Rais wa CAF wateta Dodoma


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe leo Agosti 13, Jijini Dodoma.

Motsepe amewasili nchini leo kwa ziara ya siku kutokana na mwaliko wa Rais wa shirikisho la Soka Tanzania(TFF), Wallace Karia.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi