Oct 14, 2021

Diamond Platnumz anunua saa ya milioini 69

  Muungwana Blog 3       Oct 14, 2021


Staa wa Bongo  Diamond  ameamua kuzitumia ipasavyo pesa anazozikeshea na kuzitolea jasho. Mkali huyo ametumia kiasi cha $25K ambazo ni zaidi ya milioni 57 kwa pesa ya Kitanzania kununua saa mpya aina ya Rolex. Kwa mujibu wa risiti ya ununuzi wa saa hiyo.

Diamond Platnumz ambaye kwasasa yupo nchini Marekani kwenye ziara yake ya kimuziki, alitembelea duka maarufu la Watch Empire huko Los Angeles na kujipatia saa hiyo yenye warantii ya miaka miwili.

Diamond anaungana na mastaa kama Davido, Drake, Jay Z, Kanye West n.k ambao hupendelea kuvaa saa za aina ya Rolex.

logoblog

Thanks for reading Diamond Platnumz anunua saa ya milioini 69

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment