F Waandishi 4 watapa ajali Mtwara | Muungwana BLOG

Waandishi 4 watapa ajali Mtwara


Waandishi wa Habari Wanne wapata ajali ya gari Mtwara - Waandishi wa Habari Wanne wa mkoani Mtwara wamepata ajali ya gari huku baadhi yao wakidaiwa kuumia. 


Waandishi hao walikuwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa huo, Brigedia Jen. 


Marco Gaguti. Gari lililopata ajali liliwabeba John Kasembe(Azam TV), Anne Roby (D News), Adam Malima (CTen) na Baraka Jamal ( Safari Redio ). 

Chapisha Maoni

0 Maoni