Mohamedi Seleman Ally Mkazi wa Mabwepande Manispaa ya Kinondoni Jiji Dar es salaam amesimulia tukio lililomsibu baada ya kutekwa na watu watano ambao anadai Walinuvua nguo zote na kutaka kumfanyia vitendo vya udhalilishaji huku wakimpa masharti ya kutofanya kazi na DDC na akifanya hivyo watamua.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
