https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: KKKT NJOMBE WAFIKISHWA MAHAKAMANI ILI KULIPA FIDIA YA MIL 100 | Muungwana BLOG
https://monetag.com/?ref_id=TTIb

VIDEO: KKKT NJOMBE WAFIKISHWA MAHAKAMANI ILI KULIPA FIDIA YA MIL 100


Kesi no2,2022 ya madai ya fidia ya shilingi mil 100 inayolikabili kanisa la kiinjili la kirutheli Tanzanzania kkkt Dayosisi ya kusini imetajwa kwa mara ya kwanza katika makahakama ya mkoa wa Njombe na kisha kupangwa tar 3 mwezi February kuanza kusikiliza mashahidi wa kesi hiyo.

Kesi hiyo ya madai ambayo imekuja baada ya mlalamikaji kushinda trafic kesi no 6 ,2021 iliyotokea eneo la Kibena katika mlima Ichunilo septemba 25,2020 iliyohusisha gari aina ya Hiace yenye nambari za usajiri T298-DNE na gari aina ya Mercedez Benz Truck yenye nambari za usajiri T210-AHU mali ya kanisa ambayo ilipelekea kifo cha Kaselida Karo Mlowe(29) ambaye aliacha watoto wadogo watatu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Post a Comment

0 Comments