BREAKING NEWS: Matokeo ya darasa la saba yatangazwa, 31 wafutiwa


Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13-14, 2023.

Akitangaza matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Novemba 23, 2023 Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed amesema wanafunzi 360 ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mitihani yote au idadi kubwa ya masomo, watarudia tena mwaka 2024 huku wakitangaza kufuta matokeo ya wanafunzi 31 kwa kufanya udanganyifu. 

Bonyeza link hii kutazama https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/psle/index.htm

 TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items