VIDEO: Mtoto mchanga ateketea kwa moto chumbani Dar


Mtoto mchanga anayekadiliwa kuwa na umri wa wiki mbili amefariki baada ya moto kuteketeza chumba kimoja cha mpangaji katika Mtaa wa Misewe, Kata ya Liwiti wilayani Ilala, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda inadaiwa Mama wa mtoto huyo alimuacha chumbani akiwa amelala na kwenda dukani kununua mahitaji na aliporudi alikuta chumba chake kikiteketea kwa moto huku mtoto akiwa ndani, licha ya majirani kujaribu kuokoa uhai wa mtoto huyo, lakini jitihada hazikuzaa matunda ambapo pia ilipelekea mtu mmoja kujeruhiwa na kukimbizwa hospitali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Post a Comment

0 Comments