VIDEO: RC Chalamila atangaza operesheni kuwasaka waganga wa kienyeji Dar


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kuanza rasmi operesheni ya kuwasaka waganga wa kienyeji waliopo maeneo yote ndani ya mkoa huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBACRIBE 

Post a Comment

0 Comments