F CCM Tanga mjini yaunga kuhakikisha wanapata usindi wa kishindo | Muungwana BLOG

CCM Tanga mjini yaunga kuhakikisha wanapata usindi wa kishindo

NA REBECCA DUWE ,TANGA 

Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi Ndugu Kasim Amar MBaraka amesema kuwa maamuzi ya chama ngazi ya juu yamepokelewa na wanachama wa wa Tanga kwa moyo mmoja kwani wameunguna kw wingi kuweza kusindikiza masafara kuchukua fomu na kurejesha fomu.

Alisema maamuzi hayo yamepokelewa kwa moyo wa kipekee kwani kwani ndani ya Chama Chama mapinduzi CCm kushindana ni jambo la kawaida hivyo baada ya kupatikana mmoja aliyeteuliwa kupeperusha bendera bali wengine wote wanaunguna na huyo ili kuhakikisha ushindi unapatikana.

Aidha aliongeza kusema kuwa kamati kuu ya Chama kufanya maamuzi amabyo ni kwa ajili ya maslahi mapana ya wananchi wa Jimbo la Tanga na hivyo atahakikisha nadani ya jimbo la Tanga wanapata ushindi wa kishindo.

"kwa hakika nitaenda kuwatumia wananchi wa jimbo la Tanga nakuwaletea maendeleo bila kuangalia dini wala kabila tutakuwa began kwa bega"alisema Mbaraka.

Kwa Upande wake aliyekuwa Mtia nia wa ubunge jimbo la Tanga Ayubu Omar alisema kuwa kama Chama chama mapinduzi CCm kipo tayari sasa kumuunga mkono mgombea mteule kupeperusha bendera kuhakikisha ushindi unapatikana katika jimbo la Tanga.

Post a Comment

0 Comments