Waziri wa mambo ya nje wa Iran, Seyed Abbas Araghchi, amesema wako tayari kumaliza mvutano kupitia mazungumzo na Marekani, na kwamba mpango wake uliopendekezwa wa siku mbili wa kufungua tena Mlango-bahari wa Hormuz bado upo mezani.
Iran ilisema itafungia tena njia hiyo muhimu ya meli katika kipindi cha siku saba iwapo Marekani itatekeleza mapendekezo yake yote, kabla ya kupunguza siku hizo kutoka saba hadi mbili.
