F Picha: Vazi la Nicki Minaj lazua gumzo | Muungwana BLOG

Picha: Vazi la Nicki Minaj lazua gumzo


 Msanii wa muziki kutoka Marekani Nicki Minaj amezua gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kutupia kivazi cha aina yake.
 Nicki Minaj ametupia picha kadhaa katika mtandao wake wa Instagram ambapo mashabiki wake wameonesha kuguswa na kivazi hicho.