Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dk. Bashiru Alli amesema kuna baadhi ya wanachama wa vyama fulani wameanza kuchoma bendera za vyama kitu ambacho hakikubaliki kisheria na ni kosa la jinai hivyo CCM itaiagiza Serikali kusimamia jambo hilo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUBSCRIBE