Wito umetolewa kwa viongozi na jamii kwa ujumla kukemea mambo yanayoendelea ya urushaji wa picha na video za faragha kwenye mitandao ya kijamii ambapo inapelekea mmomonyoko wa maadili katika jamii.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE