Aug 2, 2020

VIDEO: Hali ilivyo sakata la Tanzania na Kenya kuzuia ndege

  Muungwana Blog 3       Aug 2, 2020

Hivi karibuni Kenya imetaja baadhi Mataifa ambayo ndege zake zinaruhusiwa kuingia na kutua katika viwanja vya ndege vya nchi hiyo. Mamlaka ya viwanja vya ndege hapa nchini TCAA nayo jana imetoa taarifa za kusitisha kuingia na kutua kwa ndege za shirika la ndege la Kenya KQ, hapa nchini hadi hapo TCAA itakapotoa taarifa nyingine.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE 
logoblog

Thanks for reading VIDEO: Hali ilivyo sakata la Tanzania na Kenya kuzuia ndege

Previous
« Prev Post