Jan 15, 2021

Breaking News: Necta yatangaza matokeo kidato cha Nne


Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha Nne mwaka 2020 huku ufaulu ukiongezeka kidogo kwa asilimia 5.19 kutoka ule wa mwaka 2019.

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde amesema leo Januari 15, kuwa katika mtihani huo watahiniwa wa shule 373,958 wamefaulu mtihani kati ya wanafunzi 434,654 waliofanya mtihani huo Novemba, mwaka jana ikiwa ni sawa na asilimia 85.84 ya watahiniwa wote.

KWA HABARI ZAIDI <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger