Jan 15, 2021

Serikali yataka usomaji wa bili za maji kushirikisha wananchi


Serikali imezungumzia tabia ya baadhi ya Watendaji katika Mamlaka za Maji kupandikiza bili ya huduma hiyo na kusema usomaji wa bili za Maji unatakiwa kushirikisha Wananchi

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema, ni Haki ya Mwananchi kupata Maji na pia amesema bili za huduma hazitakiwa kuwa bambikizi. Amewataka Watumishi wa Sekta hiyo kutekeleza majukumu yao kwa weledi akisisitiza Watumishi wazembe hawatovumiliwa

Aidha, amewaagiza Viongozi kuhakikisha huduma ya maji inarejeshwa ndani ya saa 24 kama Sheria inavyoelekeza kwa wale ambao wamekatiwa akisema Wananchi wasiadhibiwe pasipostahili

KWA HABARI ZAIDI <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger