Feb 23, 2021

20 Percent akasirishwa na Alikiba na Harmonize

 


Msanii 20 Percent amefunguka kusema anakasirishwa na tabia ya kuulizwa maswali yanayowahusu wasanii Alikiba na Harmonize kwa sababu sio kitu muhimu kwake na mashabiki zake.


Msanii 20 Percent amesema kuwa  "Nakasirishwa kuongeleshwa mambo mengi yasiyonihusu hata kama nikija na kazi zangu mkononi nitaulizwa kuhusu fulani na fulani, kwa mfano unaulizwa kuhusu Alikiba au Harmonize kitu ambacho pengine sio muhimu kwa mashabiki zangu ambao wanataka kujua kwa wakati huo, ni watu ambao wamekaa kwenye mazingira ya kiki na mashindano ya mitandaoni" 

KWA HABARI ZAIDI <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger