Feb 23, 2021

Rapa Tekashi69 anunua cheni ya bilioni 2.3


 Rapa Maarufu kutoka Nchini marekani Tekashi69  ameendelea kutamba na kujitofautisha na Rappers wengine kwa Upande wa mtonyo Baada ya kuonyesha Cheni yake mpya aliyoinunua hivi karibuni iliyogharimu Dolla million 1 (Takribani Bilioni 2.3 za Kitanzania)

Kupitia ukurasa wake wa Instagram #6ix9ine amepost video clip inayomuonesha akiielezea cheni hiyo iliyogharimu mpunga mrefu na kuandika:-

"Hii ndiyo cheni bora zaidi, Cheni yenye gharama kuliko zenu zote, Mnamjua anayeongoza kwenye hili Jiji, Mfalme wa New York City 6ix9ine."


KWA HABARI ZAIDI <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger